TANZANIA KUZIDI KUIMARISHA MAHUSIANO NA INDIA – SPIKA MAKINDA
Spika wa Bunge la India Mhe. Meira Kumar akimkaribisha mgeni wake, Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Anne Makinda kwenye chumba maalum kwa ajili ya mazunguzo kuhusu ushirikiano wan chi mbili hizi .
Baada ya mkutano wa Saba wa Maspika wa Bunge wanawake kumalizika, viongozi hao kwa pamoja walikutana na waandishi wa habari na kuwaeleza yaliyojiri.
Ujumbe wa Tanzania na ule wa india kwa pamoja Picha na Prosper Minja wa Bunge (kwa picha zaidi tembelea: www.prince-minja.blogspot.com )
No comments:
Post a Comment