BEI MPYA ZA MAFUTA
Kituo cha Mafuta cha BP Mbeya Mjini
Kituo cha mafuta kikiwa cheupe hakuna huduma ya mafuta
Vituo vya mafuta Jijini Mbeya vimegoma kuuza mafuta aina zote sababu ya kupinga hatua ya EWURA kupunguza bei ya mafuta kuanzia leo wakidai ni hasara kwao sababu wenyewe walinunua kwa bel kubwa iweje leo wauze kwa bei ndongo wameomba wapewe angalau siku kadhaa kumalizia mafuta waliyonayo sasa katika vituo vyao.
Baadhi ya madereva wakigombea mafuta
Hiki ni kituo cha ORYX ambacho kilikua kinaendelea kutoa huduma bila kujua wenzao wamegoma kuuza mafuta
No comments:
Post a Comment