KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Thursday, 4 August 2011

Mke wa Rais Wa Burundi Amtembelea Mama Salma Kikwete

 Mke wa Rais Wa Serikali ya Jamhuri ya Tanzania na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake nchini WAMA Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mke wa Rais wa Burundi Mama Denise Bucum(Kushoto)Nje ya Ofisi Za Taasisi ya Wanawake nchini WAMA Jijini Dar es Salaam
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete (kulia) akimkabidhi  vipeperushi vya Taasisi yake Mke wa Rais wa Burundi Mama Denise Bucumi (kushoto) alipotembelea katika Ofisi za Taasisi hiyo August 3,2011 jijini Dar es Salaam ambapo alifanya mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ya maendeleo ya wanawake na watoto pamoja na masuala mengine ya kijamii
Mke wa Rais Wa Serikali ya Jamhuri ya Tanzania na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake nchini WAMA Mama Salma Kikwete(kulia) akifafanua jambo wakati alipoongea na waandishi wa habari August 3,2011 katika ofisi ya Taasisi yake jijini baada ya kumkaribisha mke wa Rais wa Burundi Mama Denise Bucumi Nkurunziza (kushoto) aliepo nchini kwa ziara ya siku sita

Mke wa Rais wa Burundi Mama Denise Bucumi (kushoto) akiongea na waandishi wa habari katika Ofisi za Taasisi ya WAMA jijini Dar es Salaam August 3 baada ya kufanya mazugumzo na Mwenyeji wake mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete (kulia), Mke wa Rais wa Burundi amewasili  August 3 2011  ambapo atakuwa na ziara ya siku sita nchini.Picha na Mwanakombo Juma-MAELEZO

No comments:

Post a Comment