Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akibadilishana mawazo na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dk Asha Rose Migiro,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dk Asha Rose Migiro,alipofika Ikulu Mjini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dk Asha Rose Migiro,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar.02/08/2011.Picha na Ramadhani Othamn, Ikulu-Zanziba
No comments:
Post a Comment