KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Thursday, 7 July 2011

Ziara ya Rais Jakaya Kikwete Banda La Uhamiaji Sabasaba

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete, akiangalia baadhi ya Vipeperushi katika Banda la Idara ya Uhmaiaji leo Machana alipotembelea Maonesho ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete, akisaini kitabu cha wageni kwenye Banda la  Idara ya Uhamiaji leo jioni wakati alipotembelea  Maonesho ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba)Jana  kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere, Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, akizungumza na wafanyakazi wa Idara ya Uhamiaji jana jioni alipotembelea Banda hilo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete akiangalia Trekta aina ya powetila lijulikano kama Kubota kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment