Mdau Magabe na rafiki wake wa karibu Bridget
kamanda wa MAGEUZI akila pozi baada ya kula nondo yake
Mdau Magabe akila pozi na wadau wengine kutoka kitivo cha uhandisi( System Engineering)
---
Salaam,
Urban Pulse inapenda kumpongeza mdau mwenzetu na kamanda wa MAGEUZI kutoka katika mji wa kusoma hapa mjini ukerewe kwa kuhitimu shahada ya UHANDISI ( ENGINEERING) kutoka katika chuo kikuu cha READING UNIVERSITY, UK Mapema wiki hii.
No comments:
Post a Comment