Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Bia ya Serengeti(SBL)Jaji Mstaafu,Mark Bomani akizungumza na Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari mjini Arusha hii leo wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Siku Mbili wa Wahariri ulioandaliwa na Jukwaa la Wahariri (TEF)na kufanyika mjini hapa.
Jaji Mark Bomani ambaye mbali na kuwa ni Mwenyekiti wa Bodi ya SBL lakini pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya Vyombo vya Habari nchini akifungua mkutano huo. Pamopja nae kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa TEF,Absalom Kibanda, Mkurugenzi wa Mawasiliano wa SBL,Teddy Mapunda na Katibu Mkuu wa TEF, Nevily Meena.
No comments:
Post a Comment