KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Monday, 25 July 2011

MAADHIMISHO YA SIKU YA MASHUJAA YALIVYOFANA MKOANI MBEYA

Mkuu wa Mkoa Mbeya John Mwakipesile akiweka ngao na mkuki katika mnara wa kumbukumbu ya mashujaa jijini Mbeya
Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya akiweka shada la maua katika mnara huo
Nao Mamwene yaani machifu hawakukosa katika tukio hilo mwakilishi wa machifu wa mkoa wa mbeya akiweka shoka kuwakumbuka waliokufa vitani kipindi hicho
Mwanafunzi huyu ameziba masikio yake hakutaka kabisa kusikia sauti ya mizinga ilyokuwa inapigwa hapo
Wananchi mbalimbali walihudhuria siku hii ya kuwakumbuka mashujaa wetu
Wanajeshi wakiimba wimbo wa Taifa
Wanajeshi wakitoa heshima kuwambumbuka mashujaa waliokufa vitani
Wakuu wa wilaya wote wa mbeya na wawakilishi wa madhehebu ya dini walikuwepo

No comments:

Post a Comment