Gari la Mh Sugu,kulia(Mbunge wa mbeya mjini-Chadema)likiondoka kituo cha polisi mbeya
Mh Sugu akihojiwa na waandishi wa habari hapo kituoni mara baada ya kutolewa
Mh Joseph Mbilinyi akiwa nje ya kituo cha polisi mbeya mara baada ya kuachiwa huru hata hivyo habari ambazo mpaka sasa hazijathibitishwa ni kwamba bonanza la sugu ambalo lilikua lifanyike leo kwenye viwanja vya Luanda nzovwe limesimamisha kwa sababu halina kibali habari zaidi juu ya bonanza hilo tutawaletea baadae
No comments:
Post a Comment