Waziri Mkuu,Mizengo Pinda na Mbunge wa Njombe Kaskazini,Deo Sanga wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Julai 28,2011.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Mtama,Bernad Membe kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 28,2011.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum,Lediana Mg’ong’o(kulia) na Kaimu Katibu wa Bunge ,John Joel kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 28, 2011.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment