KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Saturday, 30 July 2011

MAKAMU WA RAIS DK GHARIB BILAL AMJULIA HALI MZEE SAMWEL MALECELA MJINI DODOMA

Mama Asha Bilal,akisalimiana na Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais Mstaafu, John Malecela, wakati alipofika kumjulia hali nyumbani kwake mjini Dodoma na Makamu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kulia)baada ya kufanyiwa upasuaji nchini India hivi karibuni.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais Mstaafu John Malecela, alipofika kumjulia hali nyumbani kwake mjini Dodoma jana Julai 29,2011.Mzee Malecela alifanyiwa upasuaji nchini India na hali yake inaendelea kuimarika.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais Mstaafu, John Malecela, wakati alipofika nyumbani kwake mjini Dodoma jana Julai 29,kmjulia hali baada kufanyiwa upasuaji nchini India hivi karibuni.Kushoto ni Mama Asha Bilal.
3:- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais Mstaafu, John Malecela, wakati alipofika nyumbani kwake mjini Dodoma jana Julai 29,kmjulia hali baada kufanyiwa upasuaji nchini India hivi karibuni. Kushoto ni Mama Asha Bilal.
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal (kulia) akifurahia jambo na mke wa  Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais Mstaafu, John Malecela, wakati alipofika nyumbani kwake mjini Dodoma jana Julai 29,kmjulia hali baada Malecela kurejea nchini kutoka kufanyiwa upasuaji nchini India hivi karibuni.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na mke wa Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais Mstaafu, John Malecela (wa pili kulia) ambaye pia anaagana na mke wa Kamau wa rais Mama Asha Bilal, baada ya mazungumzo wakati walipofika nyumbani mstaafu huyo mjini Dodoma jana Julai 29,kmjulia hali baada kufanyiwa upasuaji nchini India hivi karibuni.
7Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.  Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Asha Bilal (kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais Mstaafu, John Malecela na mkewe,Anne Kilango, wakati Makamu alipofika nyumbani kwa Malecela mjini Dodoma jana Julai 29, kwa ajili ya kumjulia hali baada ya kufanyiwa upasuaji nchini India hivi karibuni. Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi Ya Makamu Wa Rais

No comments:

Post a Comment