KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Sunday, 11 December 2011

JK Atembelewa Na Makamu Wa Rais Wa Kenya Mh. Kalonzo Musyoka Na Ujumbe Wake


Rais Jakaya Kikwete akipokea ujumbe maalumu toka kwa Rais Mwai Kibaki wa Kenya uliowasilishwa na Makamu wa Rais wa nchi hiyo Mh Kalonzo Musyoka alipomtembelea Desemba 10, 2011 Ikulu jijini Dar es salaam

Rais Jakaya Kikwete katika maongezi na ujumbe wa kenya unaoongozwa na Makamu wa Rais wa nchi hiyo Mh Kalonzo Musyoka
Rais Jakaya Kikwete akitambulishwa kwa Mfalme Peter Nabongo Mumia wa ukoo wa Wanga wa Magharibi mwa Kenya wakati Makamu wa Rais wa Kenya Mh. Kalonzo Musyoka alipomtembelea Desemba 10, 2011 Ikulu jijini Dar es salaam.


 Rais Jakaya kikwete akiulaki ujumbe wa Kenya.
Picha Na Ikulu

No comments:

Post a Comment