KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Sunday, 18 December 2011

NAIBU WAZIRI WA FEDHA PEREILA AME SILIMA AZINDUA MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA T.I.A


           Naibu Waziri wa Fedha Pereira Ame Silima (katikati) akizindua Mkataba wa Huduma kwa Mteja wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania(TIA) jana jijini Dar es salaam mara baada ya mahafali ya tisa(9) ya Taasisi hiyo. Wengine ni Mwenyekiti wa Bodi ya Ushari ya TIA Profesa Isaya Jairo(kushoto) na Kaimu Mtendaji Mkuu wa TIA Shah Hanzuruni(kulia)

            
            Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) wakicheza muziki jana jijini Dar es salaam wakati kwa sherehe za mahafali ya tisa(9) ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA).
             Naibu Waziri- Naibu Waziri wa Fedha Pereira Ame Silima akitoa hotuba kwa wahitimu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania jana jijini Dar es salaam wakati wa sherehe za mahafali ya tisa(9) ya Taasisi hiyo ya kuwatunuku vyeti na shahada wahitimu hao
 
 
Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO-Dar es salaam

No comments:

Post a Comment