Ndugu zangu,
Kuna wanaompenda ’ Mo’ Dewji kwa jinsi alivyo pia. Kwenye jamii anaonekana hana makuu. Huo ni mtaji muhimu kwa mwanasiasa. Kwenye kucheza ’ Kiduku’ yumo kwenye kushangilia Taifa Stars yumo, tena tumbo wazi! Na jimboni kwake ana vya kuonyesha kuwa amefanya. Kwa nini akose kura?
No comments:
Post a Comment