Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndungulile (kushoto) akimkabidhi cheti Msanii, Jimmy Mponda kwa kutambua mchango wa kazi zake kilichotolewa na Kampuni ya usambazaji ya Steps Entertainment Dar es salaam juzu wakati wa sherehe za kuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka 2012 kwa wasanii wote nchini kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo. Dilesh Solanki na Rajiv Solanki
Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndungulile (kushoto) akimkabidhi cheti Msanii, Mohamed Nice 'Mtunis' kwa kutambua mchango wa kazi zake kilichotolewa na Kampuni ya usambazaji ya Steps Entertainment Dar es salaam juzu wakati wa sherehe za kuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka 2012 kwa wasanii wote nchini kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo. Dilesh Solanki na Rajiv Solanki.(Picha na Mpigapicha Wetu)
Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndungulile (kushoto) akimkabidhi cheti Msanii, Stevin Jacob 'Jb'' kwa kutambua mchango wa kazi zake kilichotolewa na Kampuni ya usambazaji ya Steps Entertainment Dar es salaam juzu wakati wa sherehe za kuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka 2012 kwa wasanii wote nchini kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo. Dilesh Solanki na Rajiv Solanki
Baadhi ya wasanii waliokuwepo
Na hawa nao walikuwep
Na Rajab Mhavila
No comments:
Post a Comment