VYAMA VYA SIASA VYAWASILISHA MAONI YAO YA KATIBA MPYA
![ajk1 d4b96](http://www.mjengwablog.com/images/magazeti/ajk1_d4b96.jpg)
Mmoja wa Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu akiwasilisha maoni ya chama chake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano na Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo (Jumatatu, Jan 7, 2013) katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
![ajk2 55ada](http://www.mjengwablog.com/images/magazeti/ajk2_55ada.jpg)
Mmoja wa Viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Andrew Chenge akiwasilisha maoni ya chama chake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano na Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo (Jumatatu, Jan 7, 2013) katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
![ajk 8e5a5](http://www.mjengwablog.com/images/magazeti/ajk_8e5a5.jpg)
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba akiwasilisha maoni ya chama chake kuhusu Katiba Mpya mbele ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo (Jumatatu, Jan 7, 2013) katika Ofisi za Tume jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Tume Jaji Joseph Warioba na kulia kwa Prof. Lipumba ni Katibu wa Tume Assaa Rashid.
No comments:
Post a Comment