KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Wednesday 19 October 2011

Rais Jakaya Kikwete Akiushangaa Mkungu

Rais Jakaya Kikwete akiukagua Mkungu wa ndizi uliozalishwa katika shamba la mkulima kutoka wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wakati wa Maonyesho yaliyofanyika sambamba na Kongamano la uwekezaji katika ukanda wa Ziwa Tanganyika lilofanyika Mpanda Juzi.Picha na Freddy Maro-IKULU

No comments:

Post a Comment