KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Wednesday 19 October 2011

Maelfu ya Watu Washiriki Mazishi ya Mwanahabari Maulid Hamad Maulid Unguja Leo

 Marehemu Maulid Hamad Maulid
 Maelfu ya wananchi wakishiriki katika kusindikiza Mwili wa Marehemu Maulid Hamad Maulid (Mwanahabari)na kuelekea kuzikwa huko Bumbwini Wilaya ya Kaskazini Unguja jana leo
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakimsomea Hitma Marehemu Maulid Hamada Maulid katika msikiti wa mombasa kwa mchina, ambae alifariji juzi katika hospitali ya mnazi mmoja Mjini Unguja.Picha Zote na Ramadhani Othman,ikulu-Zanzibar

No comments:

Post a Comment