KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Saturday 25 June 2011

Umeya Wa Arusha CCM na CHADEMA Walivyoweka Mambo

Meya wa Arusha,Gaudence Lyimo (katikati-CCM) akishikana mikono na Naibu Meya mpya, Estomih Malah (Kushoto-CHADEMA), kama ishara ya kupatana, baada ya makubaliano ya kufikiwa katika Kikao Maalumu cha Baraza la Madiwani kilichofanyika hivi karibuni. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Jiji la Arusha, Estomih Changa'h.

Meya
Gaundence Lyimo CCM

Naibu Meya
Estomih Malah CHADEMA alipata kura 22 kati ya 25.
2 za HAPANA na Moja iliharibika

Kamati
Kamati ya Uchumi na Elimu: Bayo-CHADEMA
Kamati ya Fedha: Lyimo- TLP

No comments:

Post a Comment