Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.
Wednesday, 18 January 2012
mh.regia mtema kutoka Muhimbili kwenda karimjee
Maafisa wa bunge (Sargent at arms) wakiweka jeneza lenye mwili wa marehemu Mh Regia Mtema MB kwenye gari tayari kuelekea karimjee kwa heshima za mwisho asubuhi hii
No comments:
Post a Comment