KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Wednesday, 18 January 2012

JK Azindua Madaraja Makubwa Mawili Morogoro Vijijini, Aweka Jiwe La Msingi La Soko, Ahutubia Kwenye Mvua Kubwa






1. JK akielekea jukwaani kuhutubia wananchi baada ya kuweka jiwe la msingi kwa ujenzi wa soko la kijiji cha Mtamba, Morogoro vijijini.

2.JK akiongea baada ya kuzindua daraja la mto Mtombozi tarafa ya Matombo wilaya ya Morogoro mjini leo January 17, 2012

3. JK na RC akivuka daraja jipya la Magogoni katika barabara ya Kiganila-Mvuha, Morogoro Vijijini baada ya kulizindua.

4. JK na ujumbe wake na wenyeji wakipita juu ya daraja jipya la Mtombozi, Matombo, Morogoro vijijini alilozindua 

5. JK na ujumbe wake na wenyeji wakipita juu ya daraja jipya la Mtombozi, Matombo, Morogoro vijijini alilozindua.
Picha zote: Ikulu

No comments:

Post a Comment