KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Saturday, 14 January 2012

katibu mkuu mpya ofisi ya rais ikulu atembelea ofisi ya mkurabita


Naibu Katibu Mkuu  Ofisi ya Rais, Ikulu Susan Paul Mlawi (kushoto) akiongea na wafanyakazi wa Mpango Kurasimisha Rasimali na Biashara ya Wanyonge Tanzania (MKURABITA) jana jijini Dar es salaam wakati wa ziara yake ya kujitambulisha mara baada ya kueteuliwa kuwa Katibu Mkuu na Rais Jakaya Mrisho Kikwete hivi karibuni . Kulia ni Kaimu Mratibu wa Mpango wa MKURABITA   Saraphia Mgembe na Katikati ni  Katibu Mkuu   Ofisi ya Rais, Ikulu Peter Ilomo.
 Na Tiganya Vincent,MAELEZO- Dar es salaam

No comments:

Post a Comment