Mh. William Lukuvi akitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya serikali
Mh.Freeman Mbowe akitoa salamu kwa niaba ya kambi rasmi ya upinzani
Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Mh.Jeremiah Sumari
Wageni waliofika kutoa heshima zao za mwisho wakiongozwa na Mh rais ndg Jakaya Kikwete Waliofika kutoa heshima ya mwisho
No comments:
Post a Comment