Fikiria mtu yeyote mashuhuri,viongozi na watu wote,kutoka kada zote walikuwepo Karimjee, Nyumbani Tabata, kanisani Segerea na hata hospitalini.changanya na waliokuwa wakimuaga kupitia luninga na mitandao kama hii,nani hakumuaga Mh.Regia? HAKUNA.Tutazidi kukuwekea hapa picha za wengi waliojitokeza kumuaga hapo jana na hata leo kijijini Ifakara.
No comments:
Post a Comment