KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Wednesday, 18 January 2012

MAANDALIZI YA MWILI WA MAREHEMU MH. REGIA MTEMA(MB) MUHIMBILI ASUBUHI HII




Gari litakalobeba mwili wa marehemu kwenda viwanja vya Karimjee kwa heshima za mwisho
                                                                      

Katibu wa vijana(CHADEMA) kanda maalum ya Dar es salaam Nd Renatus Mlashani 
akiongoza zoezi hilo

No comments:

Post a Comment