KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Saturday 2 June 2012


Nape Azoa Wanachama Wapya Elimu Ya Juu

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na vijana katika mahafali ya Makada wa CCM kutoka katika vyuo vikuu mkoa wa Iringa, ambapo alikabidhi vyeti kwa wahitimu 230 na kadi za CCM kwa wanachama wapya 148. Picha: Bashir Nkoromo

No comments:

Post a Comment