KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Wednesday, 23 May 2012


Kamati Ya PAC Kutembelea Waathirika Wa Mabomu Mbagala Kuu

Katibu Mkuu  Ofisi ya Waziri Mkuu ,Peniel  Lyimo (katikati) akifafanua  jambo  wakati akitoa taarifa ya malipo ya waathirika ya mabomu  ya Mbagala  Mei 22,2012  katika Ofisi ndogo ya Bunge jijini  Dar- es -Salaam  alipowasilisha kwa Kamati ya  Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) inayoongozwa na Mwenyekiti wake John Cheyo hayupo pichani, (kulia)  ni Mkurugenzi wa Idara ya Kitengo cha Maafa katika Ofisi ya Waziri Mkuu  Meja Jenerali  Sylvester  Rioba, (kushoto ) Kaimu Katibu Tawala Mkoa DSM  Michael  Ole- Mungaya. Tukio la kulipuka kwa mabomu lilitokea mwaka 2009 huko Mbagala Kuu  Mkoa wa Dar es Salaam na kusababisha maafa kwa baadhi ya wakazi.(Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).
Wajumbe wa kamati ya PAC wakiwa kwenye mkutano wa utoaji taarifa ya maafa ya Mabomu Mbagala chini ya Mwenyekiti  John Cheyo
Wakiangalia orodha ya malipo ya waathirika wa mabomu ya Mbagala
Muathirika Mzee Steven Gimongi (shoto) akitoa maelezo alivyoathirika wakati wa mabomu mbele ya Mk wa Kamati ya ( PAC )John Cheyo
Mwenyekiti wa( PAC) John Cheyo (koti) ,MP wa Kigamboni Dk. Faustin Ndugulile (kaunda) pamoja na baadhi ya wajumbe wa PAC na watenda
Mbunge wa Kigamboni Dr. Faustin Ndugulile (kaunda suti) akiwasikiliza baadhi ya waathirika wa mabomu huko Mbagala Kuu.

No comments:

Post a Comment