JK Akiwa Addis Ababa
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa USAID Dkt Rajiv Shah katika hoteli ya Sheraton
jijini Addis Ababa leo April 9, 2012 ambako kwa pamoja wanahudhuria
Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika linaloshirikisha zaidi ya
viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi kutoka sehemu mbalimbali
duniani.
"Karibu
Mheshimiwa...." Anaonekana kusema Mkurugenzi wa World Economic Forum
kwa Afrika Bi Elsie Kanza wakati wa kumpokea Rais Jakaya Kikwete
alipowasili hoteli ya Sheraton
jijini Addis Ababa usiku wa kuamkia leo April 9, 2012 tayari
kuhudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika linaloshirikisha
zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi kutoka sehemu
mbalimbali duniani.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana viongozi na maafisa mbalimbali alipowasili hoteli ya Sheraton
jijini Addis Ababa usiku wa kuamkia leo April 9, 2012 tayari
kuhudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika linaloshirikisha
zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi kutoka sehemu
mbalimbali duniani.
Rais Jakaya Kikwete katika maungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa USAID Dkt Rajiv Shah katika hoteli ya Sheraton
jijini Addis Ababa leo April 9, 2012 ambako kwa pamoja wanahudhuria
Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika linaloshirikisha zaidi ya
viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi kutoka sehemu mbalimbali
duniani
Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment