KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Sunday, 27 May 2012


Dk.Slaa Anaongea

Dk.Slaa akihutubia sasa,anaongelea mambo mbalimbali,mfumuko wa bei,posho,viwanda,ugumu wa maisha,zomeazomea ya CCM nk.
Deo Munish Katibu mkuu wa BAVICHA akiteta jambo na mmoja aliyehudhuria mkutano.



No comments:

Post a Comment