Basi la Kampuni ya Muro Investment, T820BEY
lillilokuwa klikitokea Mwanza kwenda jijini Dar es Salaam, limewaka
moto na kuteketea kabisa maeneo ya Maseyu Mkoani Morogoro. Ajali hiyo
iliyotokea majira ya saa 1:15 usiku Mei 8,2012, haikusababisha madhara
kwa abiria ispokuwa mali zao zote ziliteketea kwa moto huo.
No comments:
Post a Comment