BURIANI MAFISANGO...
MAMIA WAFURIKA TCC CHANG'OMBE KUUAGA MWILI WA PATRICK MUTESA MAFISANGO
Heshima za mwisho.
Haruna Moshi akitoa heshima za mwisho.
Nahodha wa Simba, Juma Kaseja akitoa heshima za
mwisho.
Emmanuel Okwi akitoa heshima za mwisho.
Makocha wa Stars, Silvester
Marsh na Kim Poulsen wakati wa ibada ya kuaga mwli wa Mafisango.
Katibu Mkuu wa Yanga, Celestine Mwesigwa akitoa
salamu wakati wa kuaga mwili wa marehemu, Mafisango.
Mamia ya wadau wa Soka wakiwa wamekusanyika
katuika viwanja vya Sigara TCC Club, Chang'ombe jijini Dar es Salaam kuaga mwili
wa aliyekuwa kiungo wa Simba. Patrick Mafisango mchana huu.
Askari wa Usalama Barabarani akiongoza msafara
wakati mwili wa marehemu, Mafisango ulikiwasili katika viwanja vya TCC
Club.
Waziri wa Habari, Vijana
Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara (wa pili kushoto) akiwasili katika
viwanja vya Sigara jijini Dar es Salaam wakati wa ibada ya kuaga mwili wa
marehemu, Patrick Mafisango.
Beki wa Simba, Juma Nyoso pamoja na John Boko wakiwa wamebeba jeneza.Mlezi wa klabu ya simba, Prof. Philimon Sarungi akimfariji Mwenyekiti wa Simba, Aden Rage.
Boban akiwa na huzuni.
Mwenyekiti wa Simba Ismail Rage akisoma wasifu
wa marehemu.
Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo,
Dk. Fenella Mukangara akitoa heshima za mwisho wakati wa ibada ya kuaga mwili wa
marehemu, Patrick Mafisango.
Kocha wa Simba akitoa heshima za mwisho.
Taifa Stars wa kwanza kushoto ni kocha wa makipa, Juma Pondamali |
Katikai Kim Poulsen kocha wa Stars, kushoto Msaidizi wake Sylvester Marsh na kulia Meneja Leopold Mukebezi |
Azim Dewji kulia na Leonard Thadeo kushoto |
Gwiji wa Simba, Abdallah Kibadeni kushoto na Uhuru Suleiman |
Makocha wa Yanga, Freddy Felix Minziro na kocha wa makipa Mfaume Athumani wakiwa na beki wa zamani wa Yanga, Willy Martine 'Gari Kubwa' wa pili kutoka kushoto |
Makumbi Juma katikati |
Eric Sagala 'Cantona' katikati |
Suleiman Matola kulia |
Juma Nyosso kushoto na John Bocco 'Adebayor' kulia wakiwa wamebeba jeneza
Shabiki Mkongomani akidhibitiwa baada ya kupagawa alipoona jeneza la marehemu Mafisango |
Amir Maftah aliyebeba msalaba na Mwinyi Kazimoto kashika picha |
Nahodha wa Simba Juma Kaseja akisaidiwa baada ya kushindwa kujizuia na kuangua kilio kiasi cha kuishiwa nguvu |
Kaseja ni huzuni na kilio |
Jeneza la Patrick Mutesa Mafisango |
Makamu Mwenyekiti wa Simba, Kaburu na Leslie Liunda kushoto |
Kocha wa Simba, Milovan Cirkovick |
Milovan kilio |
Shabiki 'hayawani' la Yanga, maarufu kama J4 likicheka msibani |
Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Dk Fennella Mukangara (wa pili kutoka kushoto)akiingia Uwanja wa TCC |
Dk Fenella na Thadeo wakijadiliana |
Jamal Malinzi mwenye miwani |
Ibada |
Mchungaji Tito Kyame akiongoza ibada ya kumuombea marehemu |
Katibu wa Yanga, Celestine Mwesigwa akitoa rambirambi |
Ofisa wa Push Mobile, mmoja wa wadhamini wa Simba akitoa rambirambi |
Mwenyekiti wa Simba, ALhaj Ismail Aden Rage akitoa hotuba |
Wazee wenye busara wa Simba |
Rage akimuinua Dk Fenella akahutubie |
Athumani Tippo 'Zozzou' |
Kiggi Makassy kulia |
Clement Kahbuka kushoto na Athumani Jumapili Chama kulia |
No comments:
Post a Comment