KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Thursday 3 November 2011

Mkurugenzi Mtendaji Mpya Wa Vodacom Tanzania Amtembelea Waziri Mkuu Mizengo Pinda

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Kampuni ya simu za Mikononi ya VODACOM Bw.Rene Meza kabla ya mazungumzo yao,ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 3,2011  Katikati ni Ofisa Mkuu wa VODACOM TANZANIA, Mwamvita Makamba.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Kampuni ya simu za Mikononi ya VODACOM Bw. Rene Meza, ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 3, 2011. Katikati ni Ofisa Mkuu wa VODACOM TANZANIA, Mwamvita Makamba.
 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Sheria wa kampuni ya Vodacom Bw. Walarick Nittu wakati Mkurugenzi Mendaji mpya wa Vodacom Tanzania Bw. Rene Meza (wa pili kulia) alipomtembelea Waziri Mkuu ofisini kwake jijini Dar es salaam leo kujitambulisha. Wa pili kushoto ni Ofisa Masoko Mkuu na Mahusiano wa Vodacom Bi. Mwamvita Makamba.

No comments:

Post a Comment