KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Thursday, 6 March 2014

  
Kamanda Suleiman Kova
 JAN ELOFF AKITOLEWA  NJE YA
KITUO CHA POLISI OYSTERBAY KWA AJILI KUTAMBULIWA NA MWANAHABARI WETU
JAN ELOFF AKIHOJIWA NDANI YA CHUMBA MAALUM KILICHOPO NDANI YA KITUO CHA POLISI OYSTERBAY
 Hapa akitia huruma
Yule mzungu aliyekuwa anatafutwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kutuhuma za kuwatapeli wananchi kwa Euro Feki hatimae amekamtwa kikomandoo akijaribu kununua gari kwa pesa hizo feki.
Habari za uhakika zilizotua mezani zilisema mzungu huyo ambae ni Raia wa South Africa aliyefahamika kwa jina la  JAN ELOFF ambae anaishi maeneo ya Msasani Jijini Dar.
20140306_092127_e1ee6.jpg
20140306_092200_87004.jpg
20140306_092214_5d18b.jpg
20140306_092223_e43f9.jpg
20140306_092256_00ba6.jpg
20140306_092307_2ba59.jpg

Ronaldo breaks another record as Real Madrid man nets double in rout to become Portugal's all-time top scorer


Cristiano Ronaldo made the most of shambolic Cameroon defending by scoring twice to help his team to a 5-1 friendly win on Wednesday and become Portugal's all-time leading scorer.
Ronaldo took his international tally to 49, two more than the previous record set by Pauleta, as Portugal ran rings around the Indomitable Lions in a meeting of two World Cup finalists.
'I don't worry about breaking records, it something that happens naturally, with lots of dedication,' the 29-year-old told RTP television.
Cameroon were level at halftime but fell apart in the second half as they conceded four goals in a disastrous 18-minute spell.
Who else? Cristiano Ronaldo opened the scoring for Portugal in the friendly against the Africans





Who else? Cristiano Ronaldo opened the scoring for Portugal in the friendly against the Africans
Familiar sight: Ronaldo stands with his arms outstretched during the first half having netted the opener





Familiar sight: Ronaldo stands with his arms outstretched during the first half having netted the opener
Tussle: Ronaldo battles with Allan Nyom for the ball near the touchline





Tussle: Ronaldo battles with Allan Nyom for the ball near the touchline
MATCH FACTS
Helping hand: Rolando helps Samuel Eto'o back on to his feet after the Chelsea man takes a tumble




Portugal: Beto (Eduardo 46), Perreira, Rolando, Luis Neto, Coentrao, Meireles, William Carvalho (Veloso 76), Joao Moutinho, Rafa (Edinho 46), Ronaldo (Josue 87), Ivan Cavaleiro (Varela 69). 
Subs not used: Veloso, Edinho, Varela, Antunes, Miguel Lopes, Lopes.
Goals: Ronaldo 21, 83, Meireles 66, Coentrao 67, Edinho 77
Booked: Coentrao
Cameroon: Itandje (Assembe 46), Nyom, N'Koulou (Kana Biyik 46), Chedjou (Nounkeu 71), Assou-Ekotto, Enoh, Song, Makoun (Matip 72), Aboubakar (Bedimo 63), Eto'o, Choupo-Moting (Idrissou 84). 
Subs not used: N'Guemo, Bong Songo, Bagnack, Moukandjo, N'Djock.
Goal: Aboubakar 43
Booked: Song
Referee: Andre Marriner
Portugal went ahead in the 21st minute when Joao Pereira pulled the ball back from near the byline and found Ronaldo, who shimmied past his marker and fired a low shot past Guy Rolland Ndy Assembe to set a new scoring record.
The hosts did not have it all their own way and Vincent Abubakar levelled two minutes before the break when he was given time to control the ball on his chest and score with a shot on the turn.
The second half began with both teams on the attack and Assembe made an outstanding save to deny Ronaldo from close range just after the hour.
But Cameroon collapsed after a dreadful mistake by Aurelien Chedjou, who sent an attempted pass out of defence straight to Raul Meireles and the midfielder gratefully accepted the gift to put Portugal back in front in the 65th minute.
Fabio Coentrao added another two minutes later after he was set up by Silvestre Varela and, with Cameroon wide open, Edinho snapped up the fourth in the 77th minute after Essembe could only touch Ronaldo's shot straight into his path.
Helping hand: Rolando helps Samuel Eto'o back on to his feet after the Chelsea man takes a tumble
Show us your tackle: Ronaldo tries to nick the ball from Aurelien Chedjou during the clash





Show us your tackle: Ronaldo tries to nick the ball from Aurelien Chedjou during the clash
Brooding: Ronaldo looks glum as Portugal try to overpower the Cameroonians





Brooding: Ronaldo looks glum as Portugal try to overpower the Cameroonians
Nice work: Fabio Coentrao celebrates scoring his goal on the night as Portugal moved into gear





Nice work: Fabio Coentrao celebrates scoring his goal on the night as Portugal moved into gear
Thumped: The Portuguese players gather as the match becomes increasingly one-sided





Thumped: The Portuguese players gather as the match becomes increasingly one-sided
PORTUGAL'S TOP SCORERS
2. Pauleta (88 caps) - 47 goals
3. Eusebio (64 caps) - 41 goals4. Luis Figo (127 caps) - 32 goals5. Nuno Gomes (79 caps) - 29 goalsEasy does it: Real Madrid pair Coentrao and Ronaldo had much to celebrate on the night



1. Cristiano Ronaldo (109 caps) - 49 goals
Ronaldo completed the scoring in the 83rd minute, firing in a snap shot from 18 yards after two Cameroon defenders failed to clear the ball.
'We are not going to get euphoric because of a 5-1 win,' said Portugal coach Paulo Bento.
Easy does it: Real Madrid pair Coentrao and Ronaldo had much to celebrate on the night
Almost: Ronaldo sits on the turf after a Portuguese attack breaks down in the box





Almost: Ronaldo sits on the turf after a Portuguese attack breaks down in the box
Thumbs up: It was clear Ronaldo knew the job was done some way through the second half





Ronaldo teases his marker





Job done: Ronaldo gives a thumbs-up during the second half as the Portuguese stars move through the gears
Almost: Portugal full back Joao Pereira (left) chases the ball





Almost: Portugal full back Joao Pereira (left) chases the ball
Tat's amazing: Raul Meireles celebrates after handing Portugal the lead once again





Tat's amazing: Raul Meireles celebrates after handing Portugal the lead once again
All over: Ronaldo celebrates his second goal of the night and Portugal's fifth





All over: Ronaldo celebrates his second goal of the night and Portugal's fifth

Tuesday, 4 March 2014


11 Reasons You Should Start Eating Mango

11373511_m
Mangos taste so good that you forget how healthy they are. Here are healthy reasons why you should stock up on this king of fruits.
Nutrition by the numbers
1 cup contains the following percentages applied to daily value
103 calories
75 percent vitamin C- antioxidant and immune booster
24 percent vitamin A- antioxidant and vision
12 percent vitamin B6 plus other B vitamins- hormone production in brain and heart disease prevention
10 percent healthy probiotic fiber
8 percent copper- a co-factor for various vital enzymes plus production of red blood cells
8 percent potassium- balances out your high sodium intake
5 percent magnesium
Mango prevents cancer
Researches have shown antioxidant compounds in mango fruit have been found to protect against colon cancer, breast cancer, prostate cancers and leukemia. These compounds are isoquercitrin, quercetin, fisetin, astragalin, methylgallat and gallic acid as well as the abundant enzymes.

14 Reasons You Should Start Eating Cucumber


Cucumber Cucumbers are number four most cultivated vegetable in the world and known to be one of the best foods for your overall health, often referred to as a super food. Pick a handful of firm, dark green cucumbers and drop them into your shopping cart. Congratulations! You have just bought yourself stuff full of good health.
Cucumber rehydrates body
If you are too busy to drink enough water, eat the cool cucumber, which is 90 percent water. It will cheerfully compensate your water lost.
Cucumber fights heat inside and out
Eating cucumber will get your body relief from heartburn. Apply cucumber on your skin and you will get relief from sunburn.
Cucumber eliminates toxins
All that water in cucumber acts as a virtual broom, sweeping waste products out of your body. With regular eating, cucumber is known to dissolve kidney stones.
Cucumber replenishes daily vitamins
Cucumbers have most of the vitamins the body needs in a single day. A B and C, which boost your immune system keep you radiant and give you energy. Make it more powerful by juicing cucumber with spinach and carrot. Don’t forget to leave the skin on because it contains a good amount of vitamin C, about 12 percent of the daily recommended allowance.

MANGULA ATUA KALENGA , ASEMA CHADEMA WALIA KILIO CHA MAMBA

mangula_5bb77.jpg
NA BASHIR NKOROMO, IRINGA
MRATIBU wa Kampeni za CCM katika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula amesema, madai ya Chadema kwamba CCM imepeleka mamluki katika jimbo hilo ni kilio cha mamba, baada ya chama hicho kukimbiwa kutokana na vitendo vyake vya kudhuru watu ikiwemo kuwatoboa macho kwa bisibisi na kuwamwagia tindikali.

Hivi karibuni Chadema wanadaiwa kumtoboa jicho kwa bisibisi Alphonce John wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani mjini Kahama, na pia wanadaiwa kumpa ulemavu wa kudumu kwenye sura Mussa Tesha baada ya kumwagia Tindikali wakati wa uchaguzi mdogo uliofanyika Igunga 2012.
Mangula amesema mbali na vitendo vya kutoboa macho na kumwagia watu tindikali, ambavyo Chadema inadaiwa kufanya, pia chama hicho kimeogofya wananchi kwenda kwenye mikutano yake, kutokana na kujiwekea histoa mbaya ya watu kuuawa katika mikutano yake kadhaa ambapo sasa wamefikia watu zaidi ya wanane tangu chama hicho kuanzishwa.
Makamu Mwenyekiti huyo wa CCM Bara, ametoa ufafanuzi huo baada ya mwandishi mmoja wa habari kutaka kujua CCM ilikuwa na maoni gani kuhusu tuhuma ambazo zimetolewa na Chadema, kwenye mkutano wake na waandishi, leo, Machi 3, 2013 ikisema kwamba CCM imeingiza watatu iliowaita majambazi, kutoka mikoani kwa nia ya kufanya fujo jimboni Kalenga nyakati za kampeni.
Mangula ambaye amewasili mjini Iringa, leo, Machi 3, 2013, akiwa tayari kuingia katika jimbo la Kalenga, ambako alisema atapiga kambi hadi Machi 16, mwaka huu uchaguzi ukapofanyika na CCM kuibuka Kidededea, alisema, CCM haina sababu ya kuingiza waovu jimboni kwa kuwa siyo jadi yake na inatambua thamani ya amani kuwepo katika eneo lolote.
"CCM inatambua umuhimu wa amani mahala popote, na kwa bahati nzuri mimi binafsi ninao uzoefu na mifano mingi kuhusu madhara ya kutoweka amani hivyo kama kiongozi na mratibu wa kampeni za CCM katika jimbo hili la Kalenga siwezi kuruhusu CCM kufanya mambo ya kijinga kiasi hicho", alisema Mangula na kuongeza;
"Wakati Chadema wanajaribu kujikosha kwa wananchi kwa kulia machozi ya mamba, sisi tumeshajua kwamba chama hicho kimeingiza mamluki kumi kutoka nje ya Iringa ikiwemo Tarime na Temeke, na kuwatawanya katika kata
mbalimbali. Na hili sisi tunalisema kwa ushahidi wa kutosha, tunawajua mamluki hao na hata majina yao tunayo...tunasubiri kuchukua hatua za kisheria kabla ya kuwataja".

Katika hatua nyingine, Mangula alilaani hatua ya Chadema kutumia ufukara wa mtoto mmoja na familia yake, kuombea kura kwa wananchi katika kampeni zake zinazoendelea za kumnadi mgombea wa chama hicho katika jimbo la Kalenga, akisema kwamba hatua hiyo, mbali na kwamba siyo sahihi katika siasa lakini ni kumfadhililisha mtoto huyo umasikini wake.
"Hawa Chadema hawana utu kabisa, inawezekanaje Meneja wa kampeni wa chama hicho anambeba mtoto wa mtu na kumnadi kwa wananchi kwamba amevaa sare chakavu za shule na kwamba ni kiongozi wa CCM. Hili jambo limetusikitisha sana kwa sababu ni kuivunjia heshima CCM na pia kumdhalililisha mtoto huyu kwa umasikini wake", alisema Mangula alionyesha picha iliyochapishwa kwenye gazeti la Tanzania Daima, Meneja wa kampeni za Chadema akiwa amembeba mtoto aliyevaa nguo chakavu za shule.
Mangula aliwataka wana-CCM katika jimbo la Kalenga kutokuwa na hofu yoyote, wakati wa kampeni na siku ya kupiga kura kwa sababu anaamini ulinzi wa serikali upo wa kutosha.
Akizungumza na baadhi ya viongozi wa CCM mkoa wa Iringa, Mangula aliwataka kutumia muda wa kampeni kuwajulisha wana-CCM na wananchi kwa jumla kwamba wanayemnadi kushinga ubunge si Godfrey Mgimwa, bali ni CCM ndiyo inayowania kiti hicho
Sehemu ya Magomeni jijini Dar es salaam ikonesha maendeleo ya ujenzi wa barabara hiyo
Kituo cha Magomeni Kagera
Daraja la Manzese pamebadilika
Daraja la waendao kwa miguu stendi ya mabasi ya bara ya Ubungo
Flyover ya waendao kwa miguu Ubungo
Kampuni ya Strabag International GmbH inayotekeleza ujenzi wa barabara ya Morogoro kuanzia Kimara hadi Kivukoni jijini Dar es Salaam imetakiwa kuhakikisha kuwa inakamilisha ujenzi wa sehemu hiyo ndani ya kipindi cha miezi sita ijayo kama mkataba wao unavyoelekeza.

Thursday, 27 February 2014

mj_36780.jpg
Nilikutana nae mitaa ya kati, Kariakoo leo mchana. Nikamwambia kaka yangu Juma Ikaangaa, mshindi wa medali ya fedha Commonwealth games, Brisbane Australia, 1982, mshindi wa nafasi ya kwanza New York Marathon, na mshindi wa mara tatu Boston Marathon, kwamba leo mimi niko fiti zaidi kuliko yeye, tukianza mbio mimi na yeye, tutoke Kariakoo hadi Magomeni,basi, nitakuwa wa kwanza kufika Magomeni wakati yeye akihangaika Jangwani...!
Tuache utani, Juma Ikangaa ni mmoja wa wanariadha walioliletea taifa hili sifa kubwa na kuitangaza Tanzania. Nakumbuka mwaka 1982 nilisoma makala Daily News iliyonisisimua sana kuhusu alichokifanya Juma Ikangaa, Brisbane, Australia, kwenye michuano ya Madola. Mwandishi mzungu aliandika, kuwa kule Brisbane, kwa jinsi Ikangaa alivyokimbia, walimwita Juma Ikanga-kangaroo! Leo nilimkumbusha Ikangaa hilo, alifurahi sana.
Na nikamwuliza Ikangaaa, hivi kweli, hii leo kama nchi, mbona hatuonekani kuwa tuna safari ya kwenda Glasgow, Scotland, kwenye Commonwealth games inayoanza July 3, 2014. Halafu tutakuja kulaumiana kuwa tumepeleka watalii watakaorudi mikono mitupu, bila hata medali za mbao!
Ikangaa naye hakuwa na majibu, bali kuonyesha masikitiko yake kwa jinsi miaka hii kusivyokuwa na umakini katika maandalizi, kulinganisha na wakati wake.

UZINDUZI WA KAMPENI CCM JIMBO LA KALENGA

Imetumwa kwenye Siasa
CCM_6150a.jpg
Chama cha Mapinduzi leo kinazindua rasmi kampeni kwa ajili ya uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga mkoani Iringa. Uzinduzi huo unatarajiwa kufanyika Ifunda kuanzia saa sita mchana.  Mgeni rasmi katika uzinduzi huo ni Mwigulu Nchemba, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara.  Mgombea katika jimbo hilo lililoachwa wazi na Dk. William Mgimwa kufuatia kifo chake, ni Godfrey Mgimwa.
makamba_d09e4.jpg
Na Riziki Mashaka
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Ndg. January Makamba, akiwa katika mojawapo ya vijiji nchini India wiki hii. akitazama teknolojia nafuu katika kusambaza mawasiliano bora vijijini. Katika mwaka huu wa 2014 mamlaka ya mawasiliano ya Tanzania inataka kufikisha mawasiliano katika vijiji 4,000 ambavyo vina tatizo la mawasiliano. Naibu waziri alisema ''tumezungumza na serikali kupata teknolojia hii nafuu na bora kwa vijiji vyetu Tanzania yenye thamani ya Dola za Kimarekani milioni 154'

MBEKI NA JUHUDI ZA KUSAKA AMANI SUDAN


    MBEKI_8c77f.jpg
Rais Salva Kiir,waziri mkuu wa Ethiopia Hailemariam Desalegn ba mpatanishi Thabo Mbeki
Mpatanishi mkuu wa Umoja wa Afrika kuhusu mgogoro wa Sudan,Thabo Mbeki anafanya ziara mjini Khartoum akiwa na lengo la kusaidia kutia msukumo katika juhudi za kutafuta amani kati ya serikali ya Sudan na SPLM-N.
Ziara hiyo ya Mbeki inafanyika kabla ya mazungumzo yanayotarajiwa kuanza tena mjini Ethiopia siku ya Ijumaa 28.02.2014.
Mpatanishi mkuu wa Umoja wa Afrika katika mgogoro wa Sudan Thabo Mbeki anaianza ziara yake hiyo ya mjini Khartoum ikiwa tayari serikali ya Sudan na waasi wa Kordofan Kusini wameridhia kusitisha mapigano na kuruhusu msaada kuwafikia zaidi ya watu milioni 1 kwa mujibu wa makubaliano yaliyopendekezwa kabla ya kuvunjika mazungumzo ya kusaka amani wiki iliyopita.Itakumbukwa kwamba katika mkutano huo wiki iliyopita,wajumbe wa Umoja wa Afrika waliwasilisha pendekezo hilo kwa serikali ya Khartoum na waasi hao wa kundi la SPLM-N kabla ya mazungumzo hayo ya mjini Adis Ababa kuakhirishwa kutokana na pande hizo mbili kutupiana lawama.

Mpatanishi mkuu,wiki iliyopita alisema wajumbe kutoka upande wa waasi na serikali watabidi kushauriana na kundi la wapatanishi kuhusiana na mapendekezo hayo ya Umoja wa Afrika ingawa pia hakutowa maelezo zaidi kuhusiana na suala hilo. Kimsingi sasa mazungumzo hayo yanasubiriwa kuanza tena tarehe 28 mwezi huu wa Februari. Katika kikao cha mwanzo mjini Adis mkuu wa ujumbe wa waasi Yassir Armen alisema serikali ya Sudan inataka kumaliza vita hivi bila ya kutowa suluhisho katika suala zima la hali ya kibinadamu na kisiasa.
Kwa upande wake serikali ya Khartoum inalishutumu kundi hilo la waasi wa SPLM-N kwa kuongeza masuala ambayo hayahusiani na migogoro ya Kordofan Kusini na jimbo la Blue Nile. Mgogoro na uhasama wa kikabila katika majimbo hayo mawili pamoja na uasi wa muda mrefu katika jimbo la Darfur yametokana na malalamiko ya kiuchumi pamoja na kutengwa kisiasa kwa majimbo hayo na utawala wa Khartoum unaohodhiwa na waarabu.
Ni kutokana na hali hii rais wa zamani wa Afrika Kusini ambaye sasa ni mpatanishi mkuu wa Umoja wa Afrika katika mzozo huu anataka kuzipa msukumo juhudi za kupatikana mwafaka wa amani baina ya pande hizo mbili zinazozana huku pia ukitarajiwa kufanyika mkutano wa tume ya pamoja ya Kimataifa iliyoundwa chini ya makubaliano ya amani ya mwaka 2011 kati ya Khartoum na muungano wa makundi ya waasi yaliyojitenga.Tume hiyo ilipewa jukumu la kufuatilia maendeleo ya makubaliano hayo.
Chanzo, dw.de.com/swahili. R.M
DSC 0029 11e03
DSC 0030 926ea
DSC 0031 78d9b
DSC 0032 55517
DSC 0033 777a1