KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Thursday 27 February 2014

UZINDUZI WA KAMPENI CCM JIMBO LA KALENGA

Imetumwa kwenye Siasa
CCM_6150a.jpg
Chama cha Mapinduzi leo kinazindua rasmi kampeni kwa ajili ya uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga mkoani Iringa. Uzinduzi huo unatarajiwa kufanyika Ifunda kuanzia saa sita mchana.  Mgeni rasmi katika uzinduzi huo ni Mwigulu Nchemba, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara.  Mgombea katika jimbo hilo lililoachwa wazi na Dk. William Mgimwa kufuatia kifo chake, ni Godfrey Mgimwa.

No comments:

Post a Comment