KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Sunday, 11 September 2011

Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Atembelea Majeruhi Wa Ajali Ya Meli

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein, akifutana na msaidizi mkuu wa Kituo cha Afya kivunge,Tamim Hamadi, baada ya kuwafariji majeruhu wa tukio la kuzama kwa meli ya Mv Spice Islander, Nungwi,mkoa wa Kaskazini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein, akiwafariji majeruhu wa tukio la kuzama kwa meli ya Mv Spice Islander,katika Ufukwe wa bahari ya Nungwi,mkoa wa Kaskazini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein, akimfariji majeruhu wa tukio la kuzama kwa meli ya Mv Spice Islander,katika Ufukwe wa bahari ya Nungwi,mkoa wa Kaskazini Unguja,Nasra Muhsin,wa Ole Pemba akiwa amelazwa katika hopitali ya Kivunge kaskazini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuwafariji majeruhu wa tukio la kuzama kwa meli ya Mv Spice Islander,katika Ufukwe wa bahari ya Nungwi,mkoa wa Kaskazini Unguja.
Makamu wa pili wa rais Zanzibar Balozi Idd Seif akishuhudia miili ya marehemu waliofariki katika ajali ya meli ya My Space Islander kisiwa cha Nungwi.
watoa huduma ya mwanzo wakiwa katika harakati za kuwasaidi wananchi waliokolewa katika ajali ya Meli ya Mv Spice Islander iliyozama jana katika Bahari ya Nungwi mkoa wa kaskazini unguja,meli hiyo iliyokuwa ikisafiri kutoka Unguja kuelekea Pemba.
Askari wa vikosi nbali mbali vya ulinzi wakibeba majeruhi waliookolewa katika meli iliyozama huko katika Bahari ya Nungwi Mkoa wa kaskazini Unguja,wakifikishwa katika ufukwe wa Nungwi.
Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dr Ali Mohamed Shein katikati akiwa na Makamu wa Kwanza wa Rais na Mama Mwanamwema Shein kushoto wakionekana wenye majonzi kabisa wakati walipokwenda kushuhudia majeruhi wa ajali hiyo pamoja na mait.Picha na Ramadhan Othman, Ikulu-Zanzibar

No comments:

Post a Comment