KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Tuesday, 19 June 2012


Wanachama wa BAVICHA wakiwa na familia ya marehemu Msafiri Mbwambo
 Wanachama wa BAVICHA wakiwasili nyumbani kwa mjane huyo
Na Emmanuel
Jana jumapili ya tar 17 May, wanachama  wa Baraza la CHADEMA (BAVICHA) tawi la Arusha walipata Muda  wakumtembelea mjane wa Marehemu Msafiri Mbwambo  aliyekua  Mwenyekiti wa Chadema kata USA-River wilaya ya Arumeru, Mkoa wa Arusha.
Walipata fursa yakukaa na familia hiyo nakujumuika nayo pamoja kupeleka mahitaji kiasi kwa familia hiyo.  Walipata nafasi pia yakufanya shughuli za nyumbani  hapo na baadae kurudi Arusah.
Wakiwa hapo pia walipata kuijua vizuri familia hiyo wakiwemo mabinti watatu wa marehemu ambao waliwatia majonzi vijana hao na pia BaVICHA walifurahishwa na ujasiri wa Mjane na watoto hao.
Siku Njema 
Friend of CHADEMA Arusha

No comments:

Post a Comment