Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na vijana katika mahafali ya Makada wa CCM kutoka katika vyuo vikuu mkoa wa Iringa, ambapo alikabidhi vyeti kwa wahitimu 230 na kadi za CCM kwa wanachama wapya 148. Picha: Bashir Nkoromo
No comments:
Post a Comment