Nape Mahafali Ya Vijana CCM Vyuo Vikuu Iringa
Nape akimkabidhi kadi ya CCM, Agnes Pius wa Chuo Kikuu cha Ruaha (RUCO)
Nape akimkabidhi cheti cha uongozi, Hamis Ngila wa Chuo cha Tumaini
Nape akimkabidhi vvyeti kwa niamba ya wanacama wengine, Juma Hango, Mkt mkoa wa Chuo cha Mkwawa
Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu mkoani Iringa, wakishiriki kiapo cha uanachama wa CCM. Chanzo: Bashiri Nkoromo
No comments:
Post a Comment