JK.Amwapisha Mwenyekiti Mpya Na Makamishina Wapya Wa Tume Ya Usuluhishi Na Uamuzi
Rais Kikwete akiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Naibu Waziri wa Kazi na Ajira Dkt Makongoro Mahanga (wa tatu kushoto) katika picha ya pamoja
PICHA NA IKULU.
Kamishna Evod Paul Mushi akila kiapo.
Kamishna Sauli Herbert Kinemela akila Kiapo.
Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi Bw. Cornel Kananila Mtaki akila kiapo.
Kamishna Salma Abdi Chande akila kiapo
Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment