KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Saturday, 2 June 2012


Lukuvi Ataka Ofisi Ya Waziri Mkuu Iwe Mfano

Waziri wa Nchi Ofisi Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Mh. William Lukuvi (Mb)
akisoma hotuba yake iliyo sisitiza Ofisi ya Waziri Mkuu kuwa mfano katika kupunguza
matumizi ya Serikali, wakati alipofungua kikao cha Baraza la Wafanyakaazi wa Ofisi ya
Waziri Mkuu katika Ukumbi wa Ofisi hiyo jijini Dar es Salaam leo


Waziri wa Nchi Ofisi Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Mh. William Lukuvi (Mb),
(wa nne kutoka kushoto ) akiwa na Viongozi pamoja na wajumbe wa Baraza la
Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu muda mfupi baada ya kufungua kikao cha baraza
hilo katika Ukumbi wa Ofisi hiyo jijini Dar es Salaam leo, (wa nne kulia) ni Katibu Mkuu
Ofisi ya Waziri Mkuu, Peniel Lyimo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment