KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Sunday, 3 June 2012


Mamia Wajitokeza Mbio Za Susan G. Komen Marekani

Rais wa Jumuia ya waTanzania (DMV), Iddi Sandaly, wa kwanza kushoto, Waheeda Margaret Gathesha, Chief wa swahilivilla, Abou Shatry, Aunt Rehema, pamoja na Salma Jay Jay pia alikuwepo katika matembezi ya kupigana na ugonjwa wa saratani ya maziwa hapa Washington DC.

Watanzania waliokusanyika katika viwanja vya Down Town Washington DC siku ya Jumamosi June,2,2012 katika kuitikia wito wa kuunga mkono wanawake ambao wanakabiliwa na ugonjwa wa saratani ya maziwa, utafiti na elimu dhidi ya ugonjwa huo

No comments:

Post a Comment