KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Sunday, 27 January 2013


RAIS MWINYI ATOA MAONI KATIBA MPYA



5. - CopyRais mstaafu Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akizungumza na Wajumbe waTumeya Mabadiliko ya Katiba walioongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji, Joseph Warioba (kulia). Wajumbe wa Tume walikuta na Rais huyo mstaafu ili kupata maoni na uzoefu wake katika uandishi wa Katiba Mpya.
7..
Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akibadilisha mawazo na Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, kulia Dkt. Salim Ahmed (kulia) Salim na Makamu Mwenyekiti Jaji Mkuu mstaafu, Augustino Ramadhani (katikati).


8..
Raisi mstaafu Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akibadilisha na mawazo na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Mkuu mstaafu, AugustinoRamadhani (kulia). Wajumbe wa Tume walikuta na Rais huyo mstaafu (kulia) leo (jumamosijanuari 26, 2013) ili kupata maoni na uzoefu wake katika uandishi wa Katiba Mpya.

No comments:

Post a Comment