Alex Msama Atoa Misaada Kwa Watoto Yatima
Mkurugenzi wa Kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Mwandaliwa, Halima Ramadhani
akizungumza waandishi wa habari kuhusu historia ya kituo chake baada ya
kupokea misaada ya vyakula kutoka kwa kampuni ya Msama Promotion ambapo
mkurugenzi wake Alex Msama amekabidhi misaada hiyo leo.
Mkurugenzi
wa kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama akimkabidhi sehemu ya msaada
wa vyakula Mkurugenzi wa Kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika
mazingira magumu cha Mwandaliwa, Halima Ramadhani. Mbali ya kukabidhi
vyakula hivyo, Msama pia alikabidhi hundi ya sh milioni 1.5 kwa ajili ya kulipia ada za wanafunzi waliofukuzwa shule. Msaada huo umetokana na mapato ya tamasha la Pasaka, hafla hiyo ilifanyika Mbweni nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama akikabidhi sehemu ya msaada wa vyakula
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama akikabidhi sehemu ya msaada wa vyakula
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama akikabidhi sehemu ya msaada wa vyakula
Baadhi ya watoto wakishusha vyakula viliyotolewa na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama

Baadhi ya watoto wa Kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Mwandaliwa wakiwa katika picha ya pamoja.
Mkurugenzi
wa kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama akimkabidhi hundi ya sh.
milioni 1.5 Mkurugenzi wa Kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika
mazingira magumu cha Mwandaliwa, Halima Ramadhani kwa ajili ya kulipia
ada za wanafunzi waliofukuzwa shule. Mbali ya kukabidhi hundi, Msama
alikabidhi msaada wa vyakula mbalimbali vikiwa na thamani ya sh milioni 3
zilizotokana na mapato ya tamasha la Pasaka, hafla hiyo ilifanyika
Mbweni nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi wa Kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Mwandaliwa, Halima Ramadhani akimuonesha moja ya vyumba vinavyotumiwa na watoto hao.
Alex Msama akipata maelezo katika chumba maalum kwa ajili ya watoto kujifunza kushona.
No comments:
Post a Comment