Rais Kikwete katika mkutano wa APRM na AU Jijini Addis Ababa
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia mkutano wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika Wanachama wa Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) baada ya kuwasilisha ripoti ya Tanzania usiku wa kuamkia Januari 27, 2013 katika makao makuu ya nchi za Afrika jijini Addis Ababa.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbwe wake akitoka nje ya ukumbi baada ya kuhutubua mkutano wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika Wanachama wa Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) baada ya kuwasilisha ripoti ya Tanzania katika makao makuu ya nchi za Afrika jijini Addis Ababa.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete (wa nane toka kulia, akiwa na viongozi wenzake katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa 18 wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Januari 27, 2013.(PICHA NA IKULU).