Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akifungua semina ya Uongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,iliyoanza jana katika ukumbi wa Zazibar Beach Resort.
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Othman Masoud Othman,akitoa mada ya masuala ya sheria kwa Viongozi wa Serikali,wakati wa semina ya Uongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,iliyoanza jana katika ukumbi wa Zazibar Beach Resort.
Baadhi ya Watendaji katika taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika Mkutano wa kujadili mambo mbali mbali ya kiutendaji katika sekta hizo,katika kuleta mabadiliko katika kazi za kila siku.
No comments:
Post a Comment