KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Saturday, 25 June 2011

Taifa ya Takwimu Yapokea Msaada Wa Magari Yenye Thamani Ya Tsh.Bilioni 1,109,502,196

Mwakilishi wa UNFPA hapa nchini Dk.Julitta Onabanjo, akitoa hotuba fupi wakati wa hafla hiyo. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NBS, Dk.Albina Chuwa na Waziri waa Uchumi na Fedha, Mustafa Mkullo.
Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkullo, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa magari hayo.Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NBS, Dk.Albina Chuwa na Mwakilishi wa UNFPA, Dk.Julitta Onabanjo.Picha na Mdau Richard Mwaikenda

No comments:

Post a Comment