KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Saturday, 25 June 2011

Lowassa Aunguruma Bungeni


Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Jimbo la Monduli Edward Lowassa akichangia bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya waziri leo.Pamoja na mambo mengine ameitaka serikali kufanya maamuzi magumu katika kutekeleza miradi mbalimbali kwa maendeleo ya wananchi.Picha na Aron Msigwa -MAELEZO

No comments:

Post a Comment