KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Saturday, 25 June 2011

Waziri Ashiriki Zoezi La Usafi Wa Mazingira

Wazir wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akiangalia Uchafu Mtaa wa Toroli Chang'ombe Manispaa ya Temeke Mjini Dar es Salaam wakati aliposhiriki katika zoezi la usafi wa Mazingira Linalofanyika kila siku ya Kwanza ya Mwenzi ambalo ni agizo la Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dk Mohammed Gharib Bilali.Picha na Ali Meja

No comments:

Post a Comment