KARIBUNI

Pata habari za kila siku, burudani,matangazo, na mengineyo mengi pia unaweza kuacha maoni yako kuhusu tovuti hii.

Saturday, 25 June 2011

MAKAMU WA RAIS DK GHARIB BILAL AWEKA SAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA RAIS WA ZAMANI WA ZAMBIA

1:- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa rais wa zamani wa Zambia, Frederick Chiluba, aliyefariki hivi karibuni. Makamu wa Rais alifika kuweka saini katika kitabu hicho kilichopo katika makazi ya Balozi wa Zambia nchini, jijini Dar es Salaam leo Juni 24. Picha na Amour Nassor-Ofisi Ya Makamu Wa Rais

No comments:

Post a Comment