Marehemu Maulid Hamad Maulid
Maelfu ya wananchi wakishiriki katika kusindikiza Mwili wa Marehemu Maulid Hamad Maulid (Mwanahabari)na kuelekea kuzikwa huko Bumbwini Wilaya ya Kaskazini Unguja jana leo
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakimsomea Hitma Marehemu Maulid Hamada Maulid katika msikiti wa mombasa kwa mchina, ambae alifariji juzi katika hospitali ya mnazi mmoja Mjini Unguja.Picha Zote na Ramadhani Othman,ikulu-Zanzibar
No comments:
Post a Comment